Monday 27 October 2008

Miaka 30 ya ndoa ya Mchungaji Kakusi!

Mwaka 1978 ilikuwa ni nderemo na vifijo pale ambapo Mchungaji Jackson Kakusi na Bi Sabina Kakusi wa Moravian Kigoto Mwanza walipouvua ukapela na kuwa kitu kimoja. Nderemo hizo zimejirudia tena mwaka huu ambapo imetimu miaka 30 ya ndoa hiyo.

2 comments:

Fita Lutonja said...

Kazi nzuru sana jitahidi kutembelea blogu mbalimbali halafu kwanini unachelewa sana kuposti

Venance said...

Wow doborah!
Big up my sister, I do appreciated your site but be aware with plagialism and photo piracy you have to cite as in most of your blogs.
Congrates for your good ideas.