Thursday 22 November 2007

BUS LA BUSAN CITY KOREA




THAMINI UTAMADUNI WAKO.

Mmoja wa walimu wa chuo kikuu cha Tumaini Iringa akionesha jinsi gani anaweza kudumisha mila alipokuwa Korea ya Kusini kwa maswala ya kitaaluma zaidi. Big up Brother!!!!

Wednesday 21 November 2007

Forever Living

Wanachama wa Forever Living nje ya Iringa Hotel baada ya semina iliyofanyika jumamosi.

Kumbe Uonezi hata Porini upo??

Jamani hebu ona huyu Simba alivyo mkorofi, hata kama ndio mkubwa wa pori ndio hivi kweli.

Mmh!!! Nakusikia


Mwenye koti jeusi ndie Deborah mwenyewe, akiwa na mmoja wa rafiki zake katika semina ya waelimishaji rika katika ukumbi wa blonquist Chuo Kikuu cha Tumaini Iringa.


Tuesday 20 November 2007

Thursday 15 November 2007

Uwanja Kiwango!!

Uwanja wa Taifa mpya kumbe ni kiwangoo.

Hii style safi sana!!!!

Kwanini mtu usiwe mbunifu, umependeza.

Kama sio wao vile!!!

Wazee wa kokoga nyoyo za watu "ZE COMEDY" group wakitumbuiza.

Enzi za utawala wa wajerumani

Hakuna hata msichana mmoja>

Hata huku kazi inakwenda tu!!!!


Happy birthday!!!!

Hata wao wanahitaji kupongezwa.

Cheketula cheketu

Maua naye kimya!!!!!

Wahaya mpoo!!!

Kanichamba kama karanga nido iliyomuweka sokoni dada huyu Saida Karoli

Muhogo wa jang'ombe!!

Bibi mbona kimya sana, tupe vitu tunakumiss sana.

Mteule upo wapi?

Mwanadada Rose mbona kimya, najua mambo yako ni kwa ajili ya utukufu kwa Mungu. Basi na Mungu akutangulie kwa hilo. Kwa Mungu kuna raha jaman

Wednesday 14 November 2007

Tilapia Hotel.

Tilapia Hotel Kandokando ya Ziwa Victoria Mjini MWANZA. Ni kivutio Kikubwa kwa watalii. Karibu Mwanza.

Toka uigizaji mpaka utangazaji!!!

Kijana huyu anitwa Sekiondo anao uwezo wa kuvuta hisia za watu wengi nchini. Sio kwamba ameacha kazi ya uigizaji bali ipo kwenye damu tena ansigiza sauti nyingi za watu maarufu hapa nchini. Homgera Kijana.

Jamani kumbe upo!!!!

Ukiwaondoa Ze Comedy ambao wameshika chat kwa sasa, huyu nae King'wendu alikonga nyoyo za watanzania wengi.

Sebene la kufa mtu!!!!


Richard pamoja wenzie wakikamua mauno kufurahia ushindi wa big brother. Hongera bro!!!!!

Mijihela Hiyooo!!!


Kijana noma huyu!!!!

Kijana Richard akifurahia lile burungutu la pesa!!

Monday 12 November 2007

Kwa raha zako mama!!!

Rais wa Liberia mwanamama matata Ellen Johnson akifanya moja ya kazi yake.

Ukisikia kwichi! kwichi!! Slashing flan Redioni jua ni Hii!!


Wanataka kutufanya wendawazimu!!

Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu akijaribu kujadiliana na wenzie ofisini kwao namna ya kurekebisha na kutatua matatizo ya wanafunzi kuhusu mikopo yao.

Wamezoea watu huwashangg!!!

Wanapendeza, wamekuwa ila wanatofautiana vichwa tu lakini kila kite wanachangia. Mungu mkubwa jamani!!

Sunday 11 November 2007

Ngoja tupozi hivi my sweet!!!

Mmoja wa wanafunzi wa Journalism mwaka wa pili Tumaini University Iringa wakati akiagana na ukapera.

Hata hili linanitosha jamani!!!


Bora nimepata hili nilikuwa nimeshachoka kulala chini.

Ni kumbukumbu ya 9 Decemba


Inatukumbusha sana wakati ule wa kupata uhuru wetu kama watanzania halisi. Kikosi cha kutuliza ghasia wakitoa salam wakati ule wa uhuru. Safi hiyo inaonesha kiasi gani mnajali kazi.

Eti Unaitwa nani!!!!



Cheki mnyama huyu anapenda kujitambulisha kuwa na yeye ni mmoja kati ya watu muhimu sana. anajaribu kujieleza kwa mwandishi.

Friday 9 November 2007

Hata mwaka haujaisha lakini tunakumiss sana!!!


Alikwa mtetezi wetu, alituwakilisha kwa mengi. Mungu Mpumzishe dada huyu kwa Amani. Amen

Usipoona hiki hujafika Mwanza

Jiwe linalobeba maana halisi ya mji wa Mwanza ambalo lipo katika ziwa Victoria.

Mapacha wazuri lakini!!!!!


Mapacha hawa wa kike wametenganishwa huko Cameroon na daktari wa Kiarabu mwaka huu wakiwa na mwaka mmoja na mwezi mmoja.

Wednesday 7 November 2007

Kumbe nao huwa wanateta!!!

Enzi za utawala wangu ilikuwa ni Ruksa tu!!!

Karibuni wazalendo wenzangu!!!

Karibuni sana katika meza hii ya kufahamishana haya na yale kupitia picha.
Tembelea kila siku upate kuona mambo mbalimbai yanayotokea katika dunia.
Si kufurahi tu bali kuongeza maktaba ya ubongo wako.