Thursday 10 January 2008

Ajira kwa wakazi waishio jirani na Chuo

Wakinadada wakifua nguo za baadhi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini Iringa.

2 comments:

Laltaika, E. said...

Debora, honera sana!! Hii ni kazi nzuri sana. Uchambuzi wa mtanzania kuthamini utamaduni wake ni "excellent" sina neno lingine la kuelezea. BIG UP!! Napatikana www.laltaikablogspot.com

Deborah said...

Asante sana kaka yangu! Nahitaji sana support yako katika hili, kwanza nitangaze pili nikosoe pale nitakapokuwa nimeenda chaka. Enjoy your tyme.